NENO kubwa alilowahi kuambiwa kiungo mshambuliaji Abdulaziz Makame na makocha wa Simba na Yanga ni atulize kichwa ni mchezaji ...
Awali, alimwingiza Baraka Mwangosi na baadaye Morice Abraham ili kuongeza nguvu ya mashambulizi. Hata hivyo, mabadiliko yaliyobadili mchezo yalikuwa kumuingiza Ellie Mpanzu.
Katika ardhi yenye ladha ya bahari na harufu ya historia, Zanzibar patakuwa na mchezo wa haja Jumapili hii: Simba SC ya Tanzania wakikabiliana na wageni waliokuja kushangaza, Stellenbosch FC ya Afrika ...
Hatimaye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25 (TotalEnergies CAF Confederation Cup), yamefikia tamati baada ya fainali kati ya Simba Sports Club (Simba) kutoka Tanzania, na Renaissance ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results